Jinsi Ya Kufanya Malipo

Malipo yote hufanywa kwa njia ya zifuatazo:-

 A: Kufanya Malipo kwa Kuweka katika Akaunti ya Benki ya CRDB  kupitia Benki au Fahari Huduma

  • Jina Benki: CRDB PLC
  • Tawi: Bunju
  • Jina la Akaunti:  Naishozi College of Health and Allied Sciences
  • Akaunti  Namba. 015C523760000

 B: Kufanya Malipo kwa Kutumia  M-PESA Kwenda Benki:

Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 00 # na ubonyeze kitufe cha kupiga

  1. Bonyeza # 6 – kwenda kwenye huduma za kifedha
  2. Chagua # 2 – M-PESA kwenda  Benki
  3. Chagua kutoka kwenye orodha # 1 – CRDB
  4. Chagua # 1 ili kuweka namba ya akaunti
  5. Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti  yetu ni: 015C523760000)
  6. Weka – kiasi unachotaka kulipa 
  7. Weka namba ya siri – Ingiza namba yako ya siri ya MPESA
  8. Bonyeza 1 kuthibitisha -Ingiza namba. 1 kukubali malipo

 

Subiri  ujumbe wa kukamilisha muamala wako  kutoka Vodacom na CRDB. 

 

 

C: Kufanya Malipo kwa Kutumia  Tigo-PESA Kwenda Benki

Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 01 # na ubonyeze kitufe cha kupiga

  1. Bonyeza # 7 – huduma za kifedha
  2. Bonyeza # 1 – Tigo-PESA kwenda Benki
  3. Chagua kwenye orodha # 1 – CRDB
  4. Chagua # 1 ili kuingiza namba ya akaunti
  5. Ingiza namba ya akaunti (Namba ya akaunti  yetu ni: 015C523760000)
  6. Weka – kiasi unachotaka kulipa 
  7. Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako

 Subiri ujumbe wa kukamilisha mualamala kutoka Tigo na CRDB. 

 

D: Kufanya Malipo kwa Kutumia  Airtel Money Kwenda Benki:  

 Kwenye sehemu ya kupigia simu Andika * 150 * 60 # na ubonyeze kitufe cha kupiga

  1. Chagua 1: Kutuma Pesa “BURE”
  2. Chagua 3: Tuma kwenda Benki
  3. Chagua 2: Benki ya CRDB
  4. Weka Nambari ya Akaunti (Namba ya akaunti  yetu ni: 015C523760000)
  5. Weka – kiasi unachotaka kulipa
  6. Weka namba ya siri ili kuthibitisha muamala wako

 

 

AU

Lipa kwa Mpesa, Tigo pesa, au Airtel Money

M-pesa (997 991)

• Piga *150*00#

• Chagua 4 (Lipa kwa M Pesa)

• Chagua 4 (Weka namba ya Kampuni).

• Ingiza namba ya Kampuni 997 991.

• Weka namba ya kumbukumbu ya malipo(Andika jina la mwanafunzi)

• Ingiza namba ya biashara 997 991.

• Ingiza kiasi Kinachotakikana.

• Weka namba ya siri.

• Bonyeza 1 kuthibitisha.

 

Tigo pesa (289 697)

• Piga *150*01#

• Chagua 4 (Lipa bill)

• Chagua 3 (Ingiza namba ya kampuni).

• Ingiza namba 289 697.

• Ingiza namba ya kumbukumbu (Andika jina la mwanafunzi).

• Ingiza kiasi Kinachotakikana.

• Weka namba ya siri kukamilisha malipo.

 

Airtel Money (451 515)

• Piga *150*60# .

• Chagua 5- Fanya Malipo.

• Chagua 4- Weka Namba ya Kampuni 451 515

• Ingiza kiasi Kinachotakikana.

• Ingiza namba ya kumbukumbu (Jina la Mwanafunzi)

• Weka namba ya siri.

 

 

 

 

 

 

...........................................................................
Nyaishozi College of Health and Allied Sciences;
2 Nyaishozi College Street;
14126 Mbweni, KINONDONI;
P.O. Box 68049;
Dar es Salaam, TANZANIA
Tel: +255-22-2928725
Mobile: +255-745-009792
Email: info@nyaishozicollege.ac.tz